Friday, April 8, 2011

NILIKUMBUKA ENZI KIDOOGO....

Jana pale leaders wenzangu wakiwa wako busy na mpira mimi nilikuwa busy kidogo na baiskeli nikikukumbukia enzi hizo ambapo jana ndio niliendesha tena baiskeli kwa mara ya kwanza baada ya kama miaka kumi na tano hivi ambapo nilikuwa mpenzi sana wa baiskeli.. Enzi hizo nikitoka tu shule ninachojua ni hiko.... Ninachokumbuka wakati wa kujifunza baiskeli nilikuwa nikianguka anguka sana, kila siku mavidonda na makovu kwa ajili ya baiskeli... lakini baadae nikawa master though sasahv utu-uzima kidogo unanifanya nisiwe sana kiviile.. jana wakati naendesha nikawatia hamu na kina Asma Makau pamoja na Shadee ikabidi nao watafute baskeli waendeshe... Ingekuwa sio msongamano wa magari DAR nahisi huu ndio ungekuwa usafiri wangu coz huwa na-feel comfortable sana na naenjoy sana ku-ride a bicycle.. lakini kwa DAR hii sitaki hata kujaribu kuendesha baiskeli barabarani coz nitaishia pabaya... Barbara ndio alikuwa anafanya kazi ya kunipiga picha na simu yake, asante sana kwa kuwa mpiga picha wangu kwa muda na asante kwa kaka alieniazima baiskeli pale leaders jana.. u made my day sana coz hiko ni kitu ninachokipenda mnoo... huyoo naondoka!!!!!!

2 comments:

middy said...

Kwli lazima ukumbuke mbali,enzi hizo unajifunza bike full kudondoka.
Zama kumbe ww ni Chelsea the Strongest team,lakn nilikuckia kwenye leo tena ukisema ww ni liverpool chama la wazee.

Anonymous said...

Dina naye kwenye hizo picha karibu zote mbona amezubaa zubaa tu???
No swager at all