Monday, July 11, 2011

VOTE FOR HEMEDY...






Muigizaji na muimbaji kutoka Tanzania HEMEDY SULEIMAN (PHD) yuko kwenye Tusker project Fame (Tusker all stars) kwasasa... ili aweze kushinda anahitaji sana kura yako Mtanzania, piga kura yako sasa..
Hapo akiwa na Desmond Elliot kutoka Nigeria



Ili kumpigia kura Hemedy andika TUSKER 3 kwenda namba 15324

3 comments:

Anonymous said...

TUSKER 3 NAMBA 15324

Anonymous said...

jamani watu wanachekesha hapo ndo kashampigia kura lkn pia zama ulikosea kutuambia tunapiga kura kupitia nini! unaona sasa mwenzetu ndo kashapiga kura hivyo !

Anonymous said...

SAMAHANI ZAMARADI NAONA HUKUWEKA COMMENT KWA SOLO THANG. SASA MIMI NILIKUWA NA SWALI KUHUSIANA NA SOLO NI KUTAKA KUJUA MKEWE NI RAIA WA NCHI GANI?
WAKO
JAMES