MTWARA SIO SALAMA
-
*Baada ya Waziri wa Nishat ikusoma hotuba yake.Mwishoni amesema bomba la
gesi linajengwa kutoka Mtwara kwenda Dar hapo ndio vurugu zilipoanza.*
Huko MIKINDA...
1 day ago
This Blog is all about Social and Entertainment issues... Karibu kwenye Dunia yangu!!! kwa mawasiliano tumia zamaradi.takeone@gmail.com
6 comments:
Yaeep dada imekutoa sana na hiyo jeans u have a reason to love it because it fits u well, with you lovely slim body really u look sexy
Ben
S/KOREA
umependeza zamaradi ilo boga vp tuje kusaidiana kulila nn
hidaya wa facebook
Hivi Zamaradi, umeolewa? Please jibu basi.....
yes u do!!!!!
yeah you do that's y you pretend you dont. luv you anywayz.
Zamaradi usijidhalilishe kwa kuva hiyo "four letter word", yaani, (ashakum si matusi) neno "shit". mimi niliyeisha Europe na USA nakuhakikishia waungwana wa nchi hizo hawatumii hadharani maneno kama "shit" na "fu**". Entertainment ni sawa lakini si lazima tuige kila uozo unaotoka katika maghetto yao. Ndiyo maana hata sisi tuna adabu za mila yetu, hadharani husemi m*** bali unasema "haja", n.k. Kuiga si vibaya, lakini Waafrika tujiheshimu na tusitumie ufukara wetu wa elimu kuwa ni sababu ya kujidhalilisha.
Post a Comment