Thursday, June 17, 2010

SOPHIA KESSY ANATAKA KUJITOSA KWENYE FILAMU

Mtangazaji wa kipindi cha Bambataa hapa Clouds FM radio mwanadada Sophia Kessy anataka kujitosa kwenye filamu rasmi..

Hiyo ni baada ya kuangalia na kulisoma soko kwa muda mrefu akajikuta amevutiwa na maswala ya movie hivyo ameamua rasmi kuingia huko kwa Mamovie..

Wadau vipi .. Ataweza kupenya kwenye soko la filamu??????

11 comments:

jasmin said...

aah sana tu mlete big up dada sophy nilikuwa sijui asante zamaradi nilikuwa na msikia tu aaah bonge ya kifaa

Anonymous said...

Ataweza tu, kwani wao waweze wana nini na yeye ashindwe ana nini......

mashavu yake duuuh, unaweza kabizi VISA card...lol

Anonymous said...

it seems she can do better 2 compare go gal make it happen

Diva said...

malkia tena,i believe in her

Anonymous said...

zamaradi, to tell u the truth namkubali, na anamvuto with a natural face, nakosa pumzi

Mdau wako

Anonymous said...

huyu bibi nampata ni wa ukweli sana anaitwa mama henjewele ni bibi wa kisasa msomi. big up bibi

Anonymous said...

uko juu mdada me nafikir utafunika mbaya coz ur so presentable

all in all naomba namba ya anayekushonea weaving au unilielekeze cheeeeeeeersssssssss

Anonymous said...

Ataweza! (KWANI WAO WAWEZE WANA NINI HATA SISI TUSHINDWE TUNA NINI )Hakuna kulala kama anataka kuja na aje!!.....Kizito.

Anonymous said...

Mimi Dimpo zake tu ndo huniacha Hoi na huo mkanda lazima niutafute...Kifuna!!

Anonymous said...

Anaweza bila ubishi.

Anonymous said...

HAYA MARAFIKI NASHUKURU SANA KWA KUKUBALI KUWA NAWEZA SI HIVYO TU BALI PIA MLIONIPA MOYO HAYA WENYE MAKAMOUNI YENU YA MOVIE ZA UKWELI MILANGO IKOWAZI SASA KUINGIA KATIKA MOVIE
MALKIA SOPHIA
KWA MWENGI ZAIDI TUKUTANE
www.africabambataa.blogspot.com
au www.vipaji.com nikuenzi kiafrika love you all
kissss