Monday, February 7, 2011

PICHA YA LEO..

Omotola Jalade, one of the best actress in NIGERIA.. pamoja na umri alionao but still HOT!!!

6 comments:

Anonymous said...

She iz look nice@Zama hao ni wanae sio@ZAMA
by Augustine wansakya

Anonymous said...

tena na watoto 4 aliokuwa nao,lakini tumbo lake flat kabisa

Hawa said...

Jaman huwa nampendaga sanaaa huyo dada!! She is very beutfully and best actor wa Nigeria ambaye namzimia sana!! Yupo juu kwakweli.

Belinda Rugarabamu said...

hako katoto ka kike kasweet kweli kamefanana na mamake

Anonymous said...

zama what is age all about? umri haumzuii mtu kupendeza, kujiachia, kujipenda. ni fikra potufu kuona watu walioenda age wakijiachia, i hate when i see a woman who does nt take a good care of herself. i love this woman and wemen who keeps themselve up to date.

Anonymous said...

Namkubali sana huyu Dada.... Mungu amjalie maisha mema